Hot Positive Postfix
Deals with community in general. Through offering online services. This website deals with sharing different photos, news, image, quotes,information and Other things related to community issues.
Friday, November 30, 2012
Dump Truck, CAT 797
Hii michuma nikiiona tu nakumbuka Buzagi mine.Nawakumbuka watu kama, Mamen Majan, Mdudu, Hasheem, Aron Ngiliti na wengineo wengi. Also supervere Samittelo
TANZANIA MINING SECTOR WANAZOGOA!!!!!!!!!!!!
Ni hali ya kushangaza na kustaajabisha kuona mamia ya wafanyakazi wanaofanya kazi migodini kukabiliwa na kiwango kidogo cha mshahara ambacho hakilingani na uzalishaji unaofanywa na wafanyakazi hao kwa siku.
Subscribe to:
Posts (Atom)